Ukuta waiponza Simba Queens kufuzu Ligi ya Mabingwa Africa MAKOSA ya safu ya ulinzi ya Simba Queens jana yalichangia kwa kiasi kikubwa ipoteze mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa wanawake dhidi ya Police Bullets ya Kenya...
Sven-Goran Eriksson afariki dunia siku sita baada ya kuaga Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Mancheter City Sven-Goran Eriksson, amefariki dunia akiwa na miaka 76.
Maxime ajipa muda Dodoma Jiji BAADA ya kuambulia pointi moja katika mechi mbili za Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji, Mecky Maxime amesema anaamini kikosi hicho kina mwelekeo mzuri na baada ya mechi chache kitaanza kupata...
Tuzo yampa jeuri Mpole MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole amefunguka kwa mara ya kwanza tangu arejee Ligi Kuu Bara akijiunga na timu hiyo ya Mwanza, akisema tuzo ya Nyota wa Mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ni mwanzo...
Wagosi yang'olewa CAF, yakosa penalti COASTAL Union ya Tanga imerudia kile kile ilichowahi kukifanya mwaka 1989 ilipong'olewa raundi za awali za michuano ya CAF, baada ya jioni ya leo kutoka suluhu na AS Bravo ya Angola na kutolewa...
Polisi Kenya yaing'oa Coffee, sasa kuwavaa Zamalek WAWAKILISHI wa Kenya katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Polisi Fc imefuzu raundi ya pili ya michuano hiyo ikiwa ugenini baada ya kuing'oa Coffee Bunna ya Ethiopia kwa bao 1-0 katika...
Gor Mahia yapindua meza, sasa uso kwa uso na Al Ahly MABINGWA wa soka wa Kenya, Gor Mahia wamefanya kile ambacho mashabiki walikitarajia baada ya kuifumua Al Merrikh Bentiu ya Sudan Kusini kwa mabao 5-1 na kusonga mbele katika michuano ya Ligi ya...
Rekodi tatu alizoweka Welbeck, Man United ikichapwa EPL Brighton iliendeleza ubabe wake dhidi ya Manchester United jana ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 nyumbani huku nyota wake Danny Welbeck akiandika rekodi mbili.
Singida BS yaichapa Kagera SINGIDA Black Stars, wameendeleza ubabe wao katika Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao, Kagera Sugar.