Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9014 results for Mwandishi :

  1. Colombia kuivaa Ghana, Ureno wakutane na Croatia 32 Bora

    TIMU ya taifa ya Colombia imehitimisha hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 ikiwa kileleni mwa Kundi K baada ya kutoka suluhu dhidi ya Ureno katika mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo...

  2. Kwa nini Jamhuri ya Czech sasa inaitwa Czechia?

    WAKATI Kombe la Dunia likiendelea, mashabiki wengi wamegundua mabadiliko ya kushangaza, kwam-ba timu iliyokuwa ikijulikana kama Jamhuri ya Czech sasa inaitwa rasmi Czechia.

  3. KAMA ZALI: Senesi kutoka fukwe za Ibiza hadi Kombe la Dunia

    WAKATI wachezaji wengi wakitumia kipindi hiki kupumzika baada ya msimu mrefu, beki mpya wa Tottenham Hotspur, Marcos Senesi amejikuta akikatisha likizo yake baada ya kupata zali la mentali.

  4. Kisa kichapo, Salah atupa kijembe kwa Slot

    NYOTA wa Liverpool, Mohamed Salah ameonekana kumrushia kijembe kocha wa timu hiyo Arne Slot katika ujumbe mzito aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii.

    SALAH Pict
  5. Neymar ndani ya Brazil, Gyokeres Sweden

    HATIMAYE Neymar Jr amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifacha mastaa 55, huku nchi mbalimbali zikianza kutangaza vikosi vya awali kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026, wakati mastraika wa...

  6. Ndiaye wa USM Alger ni kocha wa mataji

    Kocha wa Msenegali, Lamine Ndiaye aingia katika historia ya soka la Afrika baada ya kuiongoza USM Alger kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika.

  7. Mbappe akabidhiwa ufaransa Kombe la Dunia 2026

    STRAIKA wa Real Madrid, Kylian Mbappe na mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or Ousmane Dembele wataongoza kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kuelekea Kombe la Dunia baada ya kocha Didier Deschamps...

    MBAPPE Pict (1)
  8. Baada ya miaka 13 mwamba anarejea Real Madrid

    KOCHA maarufu raia wa Ureno, Jose Mourinho, amekubali kurejea kuinoa Real Madrid baada ya miaka 13 tangu kuondoka kwake kwa mazingira yaliyogubikwa na migogoro ndani ya klabu hiyo.

    MOURINHO Pict
  9. Rekodi mpya: Harry Kane afunga bao la 51, Bayern yabeba ndoo ya Ujerumani

    WAMEBEBA tena! Bayern Munich walitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga), mwishoni mwa wiki baada ya kuichapa VfB Stuttgart mabao 4-2, ukiwa ni wa 35 kwao tangu mfumo mpya wa mashindano...

    BINGWA Pict
  10. Everton yamkingia kifua Slot Liverpol

    USHINDI wa Liverpool wa mabao 2-1 dhidi ya Everton ugenini katika Ligi Kuu England unaelezwa umewagawa viongozi na maofisa wa juu wa klabu kuhusu mustakabali wa Kocha Arne Slot kuwapo au kuondoka...

    SLOT Pict
Previous

Page 611 of 902

Next