Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9005 results for Mwandishi :

  1. Chelsea kulazimika kumsajili Sancho

    CHELSEA watalazimika kulipa Pauni 5 milioni na kumrudisha Jadon Sancho katika timu yake ya Manchester United au kutoa karibu Pauni 25 milioni na kumsainisha mkataba wa kudumu.

    TETESI Pict
  2. Sancho anukia Bundesliga, Dortmund, Leverkusen zatajwa

    KIUNGO wa Manchester United, Jadon Sancho, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Chelsea, anataka kurudi Bundesliga katika dirisha lijalo ambako kuna timu zinahitaji huduma yake ikiwa pamoja na...

    FUNUNU Pict
  3. Jonathan David achanganya vigogo Ulaya

    NEWCASTLE imeungana na Manchester United, Tottenham, West Ham, Chelsea na Liverpool katika vita ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Lille na timu ya taifa ya Canada, Jonathan David, 25, katika...

    TETESI Pict
  4. Hojlund kutumika dili la Lookman Man United

    MANCHESTER United inahitaji kumtumia mshambuliaji wao raia wa Denmark, Rasmus Hojlund, mwenye umri wa miaka 22, kama sehemu ya ofa kwenda Atalanta kwa ajili ya kutumika kama sehemu ya...

    TETESI Pict
  5. Kounde mguu sawa Arsenal

    ARSENAL wanapanga kuwasilisha ofa ya Pauni 55 milioni katika timu ya Barcelona kwa ajili ya kuipata saini ya beki kisiki wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa, Jules Kounde.

  6. Raphinha awekewa mzigo wa maana Saudia

    AL-Hilal imewasilisha ofa ya Pauni 75 milioni kwenda Barcelona kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo ya Catalunya, Raphinha, 28, ambaye inahitaji kumsajili katika dirisha la majira ya...

    FUNUNU Pict
  7. Dube aigomea Simba

    Mtu wa karibu na Dube aliiambia Mwananchi Digital kuwa Simba sio kipaumbele cha kwanza kwa upande wa klabu za hapa Tanzania.

  8. PUMZI YA MOTO: Stewards husaidia mashabiki wanaovamia mchezo

    Kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Mashujaa, Ijumaa ya Machi 15 mwaka huu uwanjani Azam Complex, shabiki mmoja anayedhaniwa kuwa wa Simba alivamia mchezo na kuonekana akifukua vitu kwenye nguzo ya...

  9. Tabora yabanwa nyumbani

    TABORA United leo imeshindwa kufurukuta nyumbani baada ya kubanwa na kutoka sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mbele ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Wenyeji...

  10. Zenji ni JKU au Zimamoto ligi ikifikia tamati

    LIGI Kuu Zanzibar kwa msimu wa 2023-2024 inafikia tamati jioni ya leo wakati zitakapopigwa mechi saba za kukamilisha raundi ya 30, ambapo bingwa mpya wa ligi hiyo anatarajiwa kufahamika rasmi...

Previous

Page 602 of 901

Next