Madrid yapanga jambo dili la Alphonso Davies REAL Madrid huenda ikaachana na mpango wa kutaka kumsajili beki wa kushoto wa Bayern Munich na Canada, Alphonso Davies, ²4, baada ya kuona staa huyo anachelewa kufanya uamuzi kama atajiunga nao...
Atletico yatua kwa Alejandro Garnacho ATLETICO Madrid inataka kumsajili winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho ambaye ameonekana kutokuwa katika vipaumbele vya kocha Ruben Amorim tangu achukue mikoba ya kuifundisha timu hiyo.
Duh! Mudryk kwenye msala huu WIKI hii staa wa Chelsea Mykhailo Mudryk amesimamishwa kucheza soka baada ya kukutwa na hatia ya kutumia dawa zilizokatazwa michezoni.
Al-Ittihad yaanza kujisogeza karibu kwa Mohamed Salah MATAJIRI wa Al-Ittihad ya Saudi Arabia wana imani kubwa kuwa mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah, mwenye umri wa miaka 32, atajiunga nao katika dirisha lijalo la...
Bosi Andrea Berta aanza na Nico Williams atue Arsenal MKURUGENZI mpya wa michezo wa Arsenal, Andrea Berta amekutana na wakala wa staa wa Athletic Bilbao, Nico Williams katika siku za karibuni kujadili uwezekano wa kuipata saini yake katika dirisha...
Arsenal v Madrid, Bayern v Inter usiku wa hesabu kali ROBO fainali za kwanza za Ligi ya Mabingwa Ulaya zinapigwa leo na kesho huku macho na masikio yakiwa pale kwenye Uwanja wa Emirate, Arsenal itakapoikaribisha Mabingwa wa kihistoria wa michuano...
Real Madrid yaanza kumnyatia Leao kisa Vinicius Junior REAL Madrid inamwangalia winga wa AC Milan na timu ya taifa Ureno, Rafael Leao, 25, kama miongoni mwa mastaa ambao itawasajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi kuziba nafasi ya Vinicius Jr...
Man United njia nyeupe kwa Victor Osimhen MANCHESTER United inaonekana kuwa na asilimia kubwa zaidi ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria ambaye kwa sasa anaichezea Galatasaray kwa mkopo, Victor Osimhen.
Lautaro Martinez atengewa fungu Arsenal ikimtaka kikosini ARSENAL imetakiwa kulipa Pauni 128 milioni katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa inaitaka saini ya mshambuliaji wa Inter Milan na timu ya taifa ya Argentina, Lautaro Martinez.
Liverpool, Barcelona mguu sawa kwa Jonathan Tah BARCELONA hawana wasiwasi kuhusu mpango wa kutaka kumsajili beki wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Jonathan Tah, mwenye miaka 29, ambaye mkataba wake na vigogo hao wa...