Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8996 results for Mwandishi :

  1. KMKM yainyoa Malindi, Kundemba ikijitafuta ZPL

    BAO la dakika 90 lililowekwa kimiani na Salum Akida Shuruku lilimeiwezesha watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Malindi na kufufua matumaini ya...

  2. K'Ogalo yabeba tena, Ingwe yapigwa nyumbani

    HESABU zimekubali. Ndio, Gor Mahia imetwaa tena ubingwa wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) baada ya alasiri ya leo Jumapili kuinyuka Muhoroni Youth kwa mabao 3-0 na kufikisha pointi 67 zisizoweza...

  3. Hilika arudi na bao, JKU hahishikiki Zenji

    BAADA ya kuzikosa mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokana na kuwa na majukumu ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyokuwa Saudia kucheza mechi mbili za kirafiki, straika Ibrahim Hamad...

  4. Fadlu, Awesu kuna kitu kinapikwa

    KUNA kitu kinakuja. Hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids wakati akiendelea kujenga timu yenye wachezaji 15 wapya.

  5. Noti za Waarabu zaitibulia Simba

    SIMBA kabla ya kumsajili Leonel Ateba ilikuwa imepiga hodi kwa Al Ittihad ya Misri kuulizia uwezekano wa kumsajili straika tishio wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia 'Mabululu', lakini...

    Mabululu Pict
  6. SAKATA LA KIBU: Simba yatoa sharti jipya, yataja bei

    Simba imetoa sharti gumu kwa mchezaji wake Kibu Denis na Kristiansund BK inayomhitaji ili imruhusu mshambuliaji huyo kujiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Norway.

  7. SIO POA Kadi nyekundu za kushangaza katika soka

    MCHEZO wa soka ni wa makosa, kugusana na adhabu zimekuwa zikitolewa kutokana na wachezaji kuchezeana rafu.

  8. Appiah: Nikiongea kitu kuhusu soka la Ghana, wataniua!

    MSHITUKO mkubwa katika kampeni zilizomalizika jana za kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 ni kushindwa kufuzu kwa mabingwa mara nne wa michuano hiyo mikubwa zaidi...

  9. Davies akubali kusaini mkataba wa awali Madrid

    BEKI wa pembeni wa Bayern Munich na Canada, Alphonso Davies, 24, yupo tayari kusaini mkataba wa awali ili kuichezea Real Madrid katika dirisha la majira ya baridi mwakani na inaelezwa tayari...

  10. Morrison ageuka mbogo Ghana kutofuzu Afcon

    Winga Bernard Morrison ameishutumu timu ya taifa ya Ghana kwa kuwa na ubaguzi katika kuita wachezaji wa timu ya taifa jambo analoamini linachangia ifanye vibaya katika mashindano mbalimbali.

    Morrison Pict
Previous

Page 579 of 900

Next