Kinachompeleka Mkude Hospitali JUZI Jumanne Kamati ya Nidhamu ya klabu ya Simba ilishindwa kutoa hukumu ya kiungo Jonas Mkude anayetuhumiwa kwa utovu wa nidhamu ikitaka apelekwe hospitali ya Rufaa ya Taifa, Muhimbili kwa ajili...
DStv yazindua Zigo la sikukuu kwa mashabi wa soka na filamu Dar es Salaam. Mashabiki wa soka nchini watabahatika kuona mechi Zaidi ya 100 za ligi kubwa duniani kupitia kampeni ya Zigo la sikukuu iliyozinduliwa na kampuni ya Multichoice...
Utajiri wa Mo Dewji unatisha Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ametajwa kushika nafasi ya 13 katika orodha ya watu 18 tajiri barani Afrika inayoongozwa na Taikuni wa Nigeria, Aliko Dangote. Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa...
PRIME Kocha Yanga: Nileteeni winga huyu fasta AKIWA kwao America lakini kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amepitisha usajili wa winga mmoja anayejua kutupia asisti za maana akisema anataka amkute mjini kabla ya hajafika. Kocha Gamondi...
Hii ya Mayele kufuru MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wamekaa mkao wa kula kusikilizia hatma ya straika na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na Kombe la Shirikisho Afrika, Fiston Mayele ambaye inaelezwa jana...
Nyoni kugawa tiketi 50 za FA bure MCHEZAJI wa Simba, Erasto Nyoni ameahidi kugawa tiketi 50 kwa mashabiki wa timu hiyo mjini Songea kwa ajili ya kuhudhuria mechi ya Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Azam unaotarajiwa kuchezwa...
Kaze ashauriwa kukaa na wachezaji STAA wa zamani wa Yanga, Ally Mayay amemshauri kocha Cedrick Kaze kuanzisha programu ya mchezaji mmojammoja ili kuinua viwango vyao alivyoviona vimeporomoka tofauti na mechi saba za nyuma. “Kaze...
Mkenya anatua, Manula anatoka Simba LICHA ya kwamba wanafanya siri kubwa, lakini kuna kila dalili Simba watapokea ofa ya Mamelody Sundowns kwa kipa wao, Aishi Manula. Hilo litatokea muda wowote kuanzia sasa na Mwanaspoti...
Azam: Simba wanapigwa na ubingwa wao LICHA ya Simba kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini uongozi wa Azam FC umesema wasitegemee mteremko pindi watakapokutana kwenye mechi yao ya ligi. Timu hizo zinatarajia kukutana keshokutwa...
ZA NDAANI KABISA: Wakala ampeleka Nabi Simba INAWEZA kuwa habari ya kushtua sana kwa mashabiki wa Yanga, lakini ndivyo ilivyo kwamba wakala wa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, alilipelekea jina la kocha huyo kwa mabosi wa Simba ili...