PRIME Mkude aikataa jezi ya feitoto Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga wamerudi kazini jana. Kocha wao mpya Miguel Gamondi atakutana na mastaa wake tayari kuseti mitambo tayari kwa kuliamsha dude.
Diarra mwendo wa noti tu MASTAA wa Yanga hadi sasa wameshavuna kiasi cha zaidi ya Sh 316 milioni kama bonasi ya kufanya vizuri kwenye mechi tatu kati ya nne zilizopita za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Chama la Masau lazitaka tatu Polisi WAZEE wa Kupapasa, Ruvu Shooting imeendelea kujifua kwa maandalizi ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania ilitopangwa kupigwa Aprili Mosi huku kocha Mkuu wa wajeshi hao Boniface...
Simbu, Manula, wabeba tuzo za BMT KIPA tegemeo wa Simba na Taifa Stars, Shomary Kapombe ametwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka 2022 zilizotolewa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), huku nyota wa riadha, Alphonce Simbu akibeba...
Makipa Dodoma Jiji mh! HUKO Dodoma Jiji makipa wake wametoa kali baada ya wote watatu kujifunga mabao ya aina moja ya kusukumizia mipira wavuni katika mechi tatu tofauti kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu. Makipa hao...
FIFA YAIHANDA INGWE KISA MADENI KIBAO AFC Leopards imeshikwa pabaya tena na FIFA manzee. Unamkumbuka yule kocha wao mzungu Marko Vasilvejic waliyemtimua Februario, 2019? Ndiye sasa kawaingiza Ingwe kwenye ngori mbaya na FIFA...
Waziri Mkuu Majaliwa anunua tiketi 1,000 mechi Yanga Wakati homa ya mchezo wa Yanga dhidi ya Rivers ikizidi kupanda Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Kassim ameiunga mkono kampeni ya kununua tiketi za mchezo huo. Waziri Majaliwa amenunua...
PRIME Robertinho: Nimepata mashine tu msimu ujao KIU ya mashabiki wa Simba kwa sasa ni kutaka kujua mastaa wapya waliosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao, mbali na zile 'thank you' wanayopewa wale wanaotemwa kwenye kikosi cha sasa, lakini kocha wa...
Prison, Coastal Union shoo ya kibabe Timu ya Tanzania Prison imeshindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 2-2 dhidi ya Coastal Union katika uwanja wa Nelson Mandela Mkoani...
Mastaa Yanga wajazwa noti WAKATI Yanga ikiwa kambini ikianza maandalizi ya kuwavaa watani wao Simba, beki Mkongoman Djuma Shaban ametuma salam kwa wekundu hao akisema gari lao la ushindi kwa sasa imekata breki, huku...