Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8993 results for Mwandishi :

  1. Dakika 33 za Fredy Yanga, Kagera walistahili pointi tatu

    Yanga jana imerejea katika Ligi Kuu Bara kwa mdudu wa sare baada ya kulazimishwa suluhu na Kagera Sugar mjini Bukoba, huku nyota mpya wa timu hiyo, Joseph Guede akitumia dakika 33 uwanjani kwenye...

  2. PRIME Chama, Phiri waigawa Simba

    CLATOUS Chama na Moses Phiri wameonekana kuipasua Simba kwa baadhi kutaka waendelee kuwapo klabuni huku wengine wakisema waondoke zao. Awali, ilielezwa kuwa baadhi ya wadau wa klabu hiyo...

  3. Uwanja wa Arusha kupewa jina la Rais Samia

    Uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha, unatarajiwa kupewa jina la Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika kipindi maalumu cha Wasafi Radio, jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...

  4. Phiri, Baleke mtegoni, Mangungu atoa kauli

    Kiwango kisichoridhisha cha Moses Phiri na Jean Baleke kwenye Kombe la Mapinduzi hasa katika mechi ya fainali dhidi ya Mlandege juzi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kimemkwaza kocha Abdelhak...

  5. AFCON 2023 rasmi kwenye Startimes

    Katika nafasi ya kuonyesha mapinduzi ya eneo la matangazo mubashara ya soka, StarTimes imefanikiwa rasmi kupata haki za kuonyesha mubashara (Live) michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast...

  6. Mastaa walivyokwepa kikaango Simba

    BAADA ya mabosi wa Simba kuikabidhi timu kwa makocha Seleman Matola na Daniel Cadena inadaiwa benchi la ufundi limewaomba kuwarejesha wachezaji waliodaiwa kusimamishwa kikosini kwani timu...

  7. Kisa mabao Simba yamzuia Baleke

    JEAN Baleke ameendelea kuwafunga mdomo waliokuwa wakimchukulia poa mara alipotua Simba kwenye dirisha dogo, baada ya jamaa kufunga jumla ya mabao 12 yakiwamo matano ya Ligi Kuu, manne ya Kombe la...

  8. Chama afunguka ishu ya Luis, aanika mipango yake Simba

    KIUNGO fundi wa mpira wa Simba, Clatous Chama 'Tripple C' ameeleza hisia zake juu ya sakata linalomhusisha winga wa timu hiyo, Luis Miquisonne anayehusishwa kujiunga na Al Ahly ya Misri. Taarifa...

  9. Duh! baada ya Fei Toto sasa Mayele, Bangala

    YANGA inaendelea kupambana kumrejesha kundini kiungo wao fundi Feisal Salum 'Fei Toto' lakini wakati hali haijapoa kuna tishio jipya tena limeshuka klabuni hapo mastaa wao wakubwa wawili nao...

  10. Geita Gold FC matumaini kibao wakiwavaa Wasudan

    Dar es Salaam. Matajiri wa madini, Klabu ya Geita Gold leo Jumapili, Septemba 11, 2022 wanarusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa...

Previous

Page 565 of 900

Next