NIONAVYO: Hongera Yanga na Tanzania, kazi imeanza kila hatua. Mwandishi wa Makala hii ni Katibu mkuu mstaafu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).Tuma maoni yako kuhusu makala hii kwenye namba yake hapo juu.
Kwa nini vita ya urais TFF KILA wakati uchaguzi mkuu wa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) unapofika, mjadala mkubwa, mizozo, kutofautiana kimtazamo, matusi, sifa na mambo mengine hujikita katika nafasi ya Rais...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kiiza 'Diego' niliyemuona Taifa zamani na Kaitaba juzi TAKRIBANI miaka 11 iliyopita, nilikuwa juu ya kiti katikati ya mashabiki wastaarabu wa jukwaa kuu Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Mkapa) nikitazama mechi ya kirafiki kati ya Yanga na URA ya Uganda.
Tangulia Ruge, ndo umeimaliza safari KATIKATI ya mwaka 1997 nikiwa Mwandishi wa Habari za Michezo na Burudani wa gazeti la Majira, Joseph Kusaga ananipigia simu na kunikaribisha ofisini kwake. Ofisi za Clouds zilizokuwa jengo...
Mastaa NBA wanaobeba timu mabegani 2025 VICTOR Wembanyama, LeBron James na Stephen Curry wanapambana kuwa mchezaji bora zaidi wa mpira wa kikapu duniani. Wachezaji hao wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) ni miongoni mwa wanamichezo bora...
PRIME Mabosi Simba wajifungia Dar, kutoa msimamo NYOTA wa Simba ambao hawapo timu za taifa wanaendelea kujifua kambini Mo Simba Arena, Bunju Dar es Salaam kujiandaa na mechi ya kwanza ya Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ases Mimosas...
MAONI: Klabu ziache wachezaji wao mapema Usajili wa Ligi Kuu Bara pamoja na ligi nyingine unatarajiwa kufunguliwa Julai 1 kwa timu zote kuhakikisha kuwa zinaziba mapengo kwenye vikosi vyao. Huu ni usajili mkubwa ambao timu nyingi...
Wapinzani wa Yanga CAF hoi KIKOSI cha Yanga kipo kwenye mazoezi makali kikijifua kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria utakaopigwa ugenini Ijumaa ya Novemba...
Pombe ilivyokatisha maisha ya Zahara Hata hivyo, akiwa na miaka 36 tu, supastaa huyo wa muziki wa Pop Afrika Kusini, Zahara ameaga dunia wakati madaktari wakipambana kujaribu kuokoa maisha yake.
PRIME Yanga sasa ni master Manu Labota, Moloko ndiyo hivyo MWANASPOTI linajua kwamba Yanga kwenye dirisha dogo hili la usajili wanamleta winga mpya mwenye makali na hesabu zao ziko kwa Manu Lobota Bola ambaye ni staa wa FC Lupopo ya DR Congo. Timu hiyo...