Simba waikalia kikao Yanga usiku, Ahmed Ally afunguka haya Uongozi wa Simba umeitisha kikao cha dharura usiku huu kujadili kuzuiliwa kwa timu yao kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo.
Duh! Kocha wa Lyon afungiwa miezi tisa KOCHA wa Olympique Lyon, Paulo Fonseca amefungiwa soka kwa miezi tisa baada ya kumvaa kimwili mwamuzi.
Barca yabadilisha msimamo kwa De Jong BARCELONA inafanya mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wao Frenkie de Jong, 27, kwa ajili ya kumsainisha mkataba mpya utakaomwezesha kusalia katika timu hiyo kwa muda mrefu.
No Champions League, no Gyokeres Man United HABARI ndo hiyo. Manchester United ipo kwenye hatari ya kukosa huduma ya straika Viktor Gyokeres kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya mkali huyo kutaka dili la kwenda...
NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Simba mvua, Yanga Jumamosi SIJUI ni maendeleo au kitu gani, lakini unaambiwa miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na imani flani zilizokuwa zikiwafanya mashabiki wa Simba na Yanga kubashiri matokeo ya mechi za Dabi ya Kariakoo...
NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Dabi za sasa hazina undava KAMA wewe ni mtoto wa 2000, huenda hii inaweza kuwa ngumu kuamini, lakini ukweli ni Dabi ya Kariakoo kwa sasa haina undava kabisa, kwani mabeki wamekuwa laini tofauti na miaka ya nyuma. Miaka ya...
Mwakinyo ashikiliwa kituo cha Polisi Tanga, sababu yatajwa Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kumshambulia mtu anayedaiwa...
NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Simba chupuchupu misimu mitatu HUTOKEA mara chache mno katika soka, lakini utani wa jadi wa Simba na Yanga ni zaidi ya burudani, kwani mwaka 1988 Wekundu wa Msimbazi waliponea kushuka daraja kwa msaada wa watani wao hao.
Kipa Yanga, Simba auwawa akidhaniwa mhalifu WAKATI watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya HAINA KIPENGELE, kuna taarifa mbaya na ya huzuni kwa nyota wa zamani...
Mourinho kubaki Uturuki, azikataa Celtic, Rangers KOCHA wa Fenerbanhce, Jose Mourinho amekataa kuondoa uwezekano wa kwenda Rangers inayoshiriki Ligi Kuu ya Scottland.