Lionel Messi azua hofu Argentina Lionel Messi azua hofu kuhusu ushiriki wake katika Kombe la Dunia baada ya kutoka mapema wakati wa mchezo wa Inter Miami usiku kuamkia leo.
Wembanyama alinganishwa na Giannis kuvunja sheria NBA WAKATI San Antonio Spurs ikipigania nafasi ya kutinga fainali ya Ukanda wa Magharibi, nyota wake Victor Wembanyama ameibua mjadala mpya ndani ya ligi ya mpira wa kikapu ya NBA.
England yatumia wake,wapenzi kuwapa wachezaji utulivu Marekani WAKE na wapenzi wa wachezaji wa timu ya taifa ya England tayari wameshawasili Marekani wakiwa na 'mahasibandi na maboifredi' wao kwa ajili ya kuwapa kampani katika michuano ya Kombe la Dunia 2026...
Nani kutwaa tuzo ya Golden Boot Kombe la Dunia? KOMBE La Dunia 2026 litakuwa mashindano makubwa zaidi kuwahi kufanyika, likishirikisha mataifa 48 nchini Marekani, Canada na Mexico. Mbali na mbio za ubingwa, ushindani wa tuzo ya Golden Boot kwa...
Serena, Venus kukipiga pamoja Wimbledon MASTAA wa tenisi wakongwe, Serena na Venus Williams watafufua ushirikiano wao wa kihistoria katika mechi ya wachezaji wawili wawil, kwenye michuano ya Wimbledon, mwezi huu, baada ya kupewa...
Ngoy apiga tatu, Nduwumwe amfikia Fei Toto Mshambuliaji nyota wa Namungo FC, Mkongomani Fabrice Ngoy akifunga Hat Trick ya tatu katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kuifungia timu hiyo mabao matatu kwenye ushindi wa 3-2, dhidi ya KMC FC.
Timu kuongezwa Kombe la Dunia la Klabu, EPL ikinufaika SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) linatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia la Klabu baada ya kuanza mchakato wa kupanua mashindano hayo kutoka timu 32 hadi...
'Trump Dance' ya Ubelgiji gumzo NYOTA wa Ubelgiji baada ya kuichapa Marekani aliamua kufanya utani kwa kucheza "Trump Dance." kwa mtindo wa kucheza muziki wa Rais Donald Trump.
Ronaldo, Ramos waipeleka Ureno 16 bora, ikitua mikononi mwa Hispania TIMU ya taifa ya Ureno, imefuzu hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Croatia katika mechi kali na ya kuvutia iliyopigwa Kwenye Uwanja wa BMO, uliopo huko Toronto...