Madrid, Trent ishu yao iko hivi REAL Madrid inataka kufanya fasta kwenye usajili wa beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ili inase huduma yake kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la klabu.
Simba kuifuata Al Masry Machi 28, Ahmed afafanua ishu ya Kwa Mkapa Ofisa habari wa Simba, Ahmed Ally amesema tayari timu hiyo imejiandaa na safari ya kwenda Misri kwaajili ya mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry unaotarajiwa...
Mpo? Gyokeres bei yake imeshuka huko STRAIKA Victor Gyokeres amefikia makubaliano na klabu yake ya Sporting CP juu ya kuachana na timu hiyo dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huku bei yake ikishuka chini ya Pauni 60...
Amorim anamtaka fundi Trincao aje KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amepanga kufanya usajili wa winga wa Sporting Lisbon, Trincao kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi huku Mreno huyo akidaiwa kuuzwa Pauni 35 milioni.
Piga ua, Arsenal lazima isajili BILA kujali itamalizaje msimu wa 2024-25, Arsenal itahitaji kufanya usajili wa kuboresha kikosi chao dirisha lijalo.
Kuna vita ya top four Ligi Kuu Ligi Kuu Tanzania Bara imebakiza michezo saba ili iweze kumalizika na itapigwa ndani ya miezi miwili, Aprili na Mei baada ya ligi kurejea kutoka kwenye mapumziko.
PRIME Yanga yatibua dili la Fei Simba TANGU atambulishwe na Azam FC Juni 8, 2023, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu, nyota Feisal Salum almaarufu Feitoto, amekuwa akihusishwa na klabu mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Kisa Vinicius, Madrid yaanza kumwinda Nico Williams MABOSI wa Real Madrid wanaangalia uwezekano wa kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams dirisha lijalo la majira ya kiangazi kama mbadala wa Vinicius Jr...
PRIME Usajili mpya 2025 mjadala England MABOSI wa Ligi Kuu England wanajiandaa kufanya mazungumzo ya kubadili siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiangazi mwaka huu, imeelezwa.
PRIME Mashine ya mashuti inavyonoa mastaa mazoezini MAISHA yanakwenda kasi sana. Kwenye viwanja vya mazoezi ya mchezo wa soka teknolojia imeshika hatamu.