Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yanga yatibua dili la Fei Simba

FEI Pict

Muktasari:

  • Lakini klabu ambayo amekuwa akihusishwa nayo zaidi ni Simba, huku wengi wakiamini inaweza kutokea kama ilivyotokea kwa John Bocco na wenzake mwaka 2017. Hata hivyo, Kaizer Chiefs nao wanaelezwa kulazimisha dili hilo tangu mwezi Januari ingawa Azam wenyewe wameamua kulitolea nje.