PRIME SENYO: Kinyozi wa mastaa EPL, anayepiga pesa ndefu MBALI ya uwezo wao mkubwa wanaoonyesha kiwanjani moja kati ya mambo ambayo wachezaji wengi wanazingatia ni muonekano wao.
Mkwanja wa Trent kumbakiza Salah LIVERPOOL ipo tayari kumpa Mohamed Salah anachotaka baada ya kumtoa Trent Alexander-Arnold kwenye vitabu vyao vya hesabu kwa maana ya mishahara ya beki huyo Mwingereza, imeelezwa.
Yanga kutangaza utalii kupitia 'Visit Zanzibar' Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya Yanga wakisaini mkataba wa kutangaza vivutio vya Zanzibar kupitia kauli...
Usajili wa mastrika utatikisa NI kitu cha wazi kabisa, Arsenal itakuwa bize kwelikweli kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kusaka straika mpya wa kuja kuwapigia mabao msimu ujao.
Martin Keown afichua usajili Arsenal LEJENDI wa Arsenal, Martin Keown, amefichua kwamba timu hiyo yenye maskani yake kaskazini mwa London tayari imesaini mkataba na mshambuliaji mpya ili kuboresha eneo lao la ushambuliaji.
Mashabiki Chelsea wambadilikia Todd Boehly MASHABIKI wa Chelsea wameiomba mamlaka inayosimamia Ligi Kuu England kumchunguza mmiliki wao Todd Boehly kutokana na uhusiano wake na kampuni inayouza tiketi za mechi mbalimbali za ligi hiyo.
Maamuzi magumu Man United, Amorim kuhusika MANCHESTER United itaingia kwenye dirisha la usajili la majira ya kiangazi ikiwa na mpango wa kutaka kuboresha kikosi chake huku kocha mpya Ruben Amorim akitarajiwa kupata fursa yake ya kwanza ya...
Yaliyojiri mkutano wa Waziri Kabudi, TFF, TPLB, Yanga na Simba Kwa Mkapa SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba...
Sancho anukia Bundesliga, Dortmund, Leverkusen zatajwa KIUNGO wa Manchester United, Jadon Sancho, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Chelsea, anataka kurudi Bundesliga katika dirisha lijalo ambako kuna timu zinahitaji huduma yake ikiwa pamoja na...
Brazil yarudi kwa Ancelotti SHIRIKISHO la Soka la Brazil limerudi tena mezani kuzungumza na wawakilishi wa kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kwa ajili ya kumtaka akawe kocha wao mkuu kuelekea Kombe la Dunia la 2026...