KenGold na Dakika 180 za kubaki Ligi Kuu KABLA ya kumalizika kwa mwezi huu, tunaweza kuishuhudia KenGold ikilazimika kuanza harakati za kujiandaa kushiriki Championship msimu ujao endapo itashindwa kuzitumia vizuri dakika 180 zijazo...
Europa League... Spurs nyumbani, Man United ugenini MCHAKAMCHAKA chinja ndicho kinachoendelea kwenye mikikimikiki ya Ulaya, ambapo usiku wa Alhamisi zitapigwa mechi nne matata kabisa za kwanza kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA...
PRIME Tajiri Simba kaweka bilioni SIMBA bado wanaendelea kufurahia kutinga nusu fainali kwa timu hiyo katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushindwa kufanya hivyo mara tano katika misimu sita ya nyuma kila...
Anabaki! Mo Salah miwili tena ANABAKI. Ndicho unaweza kusema baada ya tetesi nyingi kumhusisha Mohamed Salah na matajiri wa Saudi Arabia, lakini kilichoko ni anakaribia kusaini dili la mkataba mpya wa miaka miwili...
TOTAL FUTBOL: Ni wikiendi ya shampeni WIKIENDI hii, Ligi Kuu England itakuwa inaingia katika mzunguko wa 33 ambapo kila timu itakuwa imebakisha mechi tano kabla ya kuhitimisha msimu huu.
Amorim anatia huruma Man United NDIO hivyo. Baada ya kukiri mwenyewe kwamba yeye ni miongoni mwa makocha wenye rekodi mbovu kuwahi kutokea Manchester United na kusisitiza kwamba anahitaji kushinda Europa League ili kuweka mambo...
Barcelona yalia refa kaiua BARCELONA imemshushia lawama mwamuzi Szymon Marciniak baada ya kuchapwa kwenye mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kutupwa nje ya michuano hiyo na Inter Milan katika...
Yamal, Raphinha wameishika dunia BARCELONA ilitoa sare ya mabao 3-3 juzi kwenye uwanja wao wa nyumbani ilipokutana na Inter Milan katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hali iliyoweka ugumu kuelekea mchezo wa marudiano, lakini mastaa...
Arsenal kwa hiki kikosi hutoki! BAADA ya kuchuana jino kwa jino na Manchester City kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England kwa misimu miwili mfululizo, Arsenal tatizo lao la kumaliza ukame wa mataji linazidi kuwa kubwa.
BROWN: Mwamba wa NBA anayepiga kote kote Katika ulimwengu wa michezo, hasa mpira wa kikapu, wachezaji wengi wamekuwa wakipata mikataba minono inayowaingizia pesa na kuwafanya kuishi maisha ya kifahari.