Rais Samia alipia ndege Yanga kwenda Mbeya Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameilipia klabu ya Yanga ndege maalumu ya kuwapeleka mkoani Mbeya kucheza michezo yao miwili ya Ligi Kuu Bara kutokana na mwingiliano wa ratiba. Jana Juni...
Simba kuoga minoti kwa Orlando SIMBA kesho Jumapili wana kazi moja tu ya kuhakikisha wanaiondoa Orlando Pirates kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika iwe kwa sare yoyote au ushindi.
Yanga kamili kwa Kariakoo Derby Yanga imejihakikishia kuivaa Simba katika mchezo wa Aprili 30 ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 13 dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili.
Chama apokelewa kimafia Bongo WAKATI Mashabiki wengi wa Simba wakiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam kumsubiri nyota wao mpya Mzambia, Clatous Chama awasili, viongozi wa timu hiyo...
MTU WA MPIRA: Nani alimsajili Ajibu pale Azam? KUNA wakati unajiuliza viongozi wetu wa soka huwa wanafanya maamuzi kwa kufikiria kweli? Ni kama hili la Ibrahim Ajibu kusajiliwa pale Azam FC. Ni kweli walifikiria ama walimsajili tu kwa kuwa...
Yanga ni bandika bandua kambini, Kaze aanika mkakati mpya KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesisitiza kwamba wamewapa wachezaji ratiba ngumu kwavile miezi miwili ijayo ndiyo fainali yao. Kaze ambaye muda mwingi hushinda mitandaoni akijifunza mbinu...
Waziri Mkuu aifagilia Simba bungeni WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR...
Phiri ataja sababu kusaini Simba STRAIKA wa Zanaco, Moses Phiri ameitaja kwa mara nyingine klabu ya Simba akisema ni timu kubwa na hakuna mchezaji anayeweza kuigomea kucheza. Phiri mwisho wa msimu huu amemaliza mkataba wake na...
Migne apewa mechi 4 Dar Uongozi wa Yanga kupitia kwa Senzo Mazingisa licha ya kutoweka wazi jina la Kocha huyo lakini amethibitisha kwamba atatua nchini kabla ya mechi ya kwanza ya mashindano. Mwanaspoti limejiridhisha...
NBC yakabidhi zawadi kwa kocha, mchezaji bora Desemba Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara (NBC Premiere League) jana ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa mchezaji bora wa ligi hiyo wa mwezi...