Simba yanasa beki Zimbabwe KIKOSI cha Simba kilitua jioni ya jana nchini kutoka Zimbabwe, kilikoteza kwa bao 1-0 dhidi ya FC Platinum katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini hakijarudi patupu kwani mkononi wana...
Ahmed: Tumezomewa kutoka Mtwara hadi Dar Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amezungumza kwa masikitiko kuhusiana na hali wanayokumbana nayo wachezaji na viongozi wa timu hiyo baada ya kushindwa kupambania taji lolote...
ZA NDAANI KABISA: Waamuzi sasa wanafungiwa kimya kimya HIVI karibuni kumekuwepo na taarifa ya kufungiwa kwa waamuzi wawili Amina Kyando na Ahmed Arajiga kwa kipindi cha miezi sita ingawa taarifa zao hazijangazwa kama ilivyo kawaida. Habari za ndani...
Nabi asuka hesabu kali kwa Waarabu MASHABIKI wa Yanga wamegawanyika, wapo ambao wamekata tamaa wakiona ni kama timu yao imeshakosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika na wako wengine wanaona timu yao itarudisha furaha yao kwenye...
Azam yaing'oa Simba, sasa kuivaa TZ Prisons AZAM FC jana usiku imehitimisha mechi za makundi kwa kuifumua Simba kwa mabao 2-0 na kuifungasha virago kwenye Ligi Kuu ya Vijana U-20 inayoendelea katika Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es...
Sahara Power kutumia baskeli kupambana na hewa chafu ya kaboni Kampuni ya Sahara Power Group inayofanya kazi ya kuzalisha umeme, imeamua kupambana na kupunguza hewa chafu ya kaboni kwa kuhamasisha matumizi ya kuendesha baiskeli kwenye miradi ya umeme na...
PRIME Bangala: Huku Azam raha sana KIUNGO mpya wa Azam FC, Yannick Bangala Litombo muda mwingi ameonekana kuwa na furaha na wachezaji wenzake kisha akafunguka Azam kuna raha sana. Bangala ambaye amesajiliwa na Azam FC akitokea...
Yanga: CEO mpya ni mwanachama hai, ana kadi Uongozi wa klabu ya Yanga umetolea ufafanuzi kigezo cha kuchaguliwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutokana na tangazo la maombi ya kazi kuainisha anatakiwa kuwa mwanachama hai wa...
Kim amwita Msuva kwa masharti KOCHA wa timu ya Taifa Tanzania, Kim Poulsen amemtaka mchezaji wake Simon Msuva kumaliza utata wake na klabu yake ya Wydad Casablanca ili arejee uwanjani. Msuva yupo nje ya uwanja baada ya kuwa...
Stars yaahidiwa Sh1.3 bilioni kuiua DR Congo Wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wameahidiwa Dola 500,000 za Marekani (takriban Sh1.3 bilioni) endapo itafuzu hatua ya 16 bora ya fainali za michuano ya...