Straika waiweka Arsenal njiapanda ARSENAL ipo njia panda kuhusu straika gani wa kumbeba kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huko Ulaya kati ya Benjamin Sesko na Viktor Gyokeres, imeelezwa.
Man United yafuta sherehe za tuzo MANCHESTER United imefuta sherehe za mwisho wa msimu za kupeana tuzo pamoja na kupata mlo wa pamoja baada ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu England.
Jeremie Frimpong akaribia kumalizana na Liverpool BEKI wa kulia wa Uholanzi na klabu ya Bayer Leverkusen, Jeremie Frimpong, 24, yuko karibu kuhamia Liverpool kwa ada ya Pauni 29.5 milioni katika dirisha lijalo la usajili ikidaiwa kuwa tayari...
Vichwa 10 vinavyochuana jino kwa jino kiatu cha dhahabu Ulaya MAMBO ni moto. Ndicho unachoweza kusema kuhusu vita ya kuwania Kiatu cha Dhahabu Ulaya.
PRIME Mzize akomaa Ligi Kuu, vita mpya yaibuka MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize ameiva. Angalia katika orodha ya wafungaji mabao wa Ligi Kuu Bara ndio utaelewa.
Skauti kibao waenda kumtazama Ronaldo Jr SKAUTI wa klabu kibao za Ulaya ikiwamo Manchester United walikwenda kumtazama mtoto wa supastaa Cristiano Ronaldo, Cristiano Ronaldo Jr wakati alipocheza mechi yake ya kwanza ya timu ya taifa ya...
Man United kuchoma nyama ikibeba ubingwa HABARI ndo hiyo. Manchester United itaachana na mpango wa kutembeza kombe kwenye basi la wazi juu na badala yake itachoma tu nyama endapo kama itaichapa Tottenham Hotspur kwenye fainali ya Europa...
Straika huyu anawasikitisha Arsenal STRAIKA wa zamani wa Arsenal, Mika Biereth amepandisha thamani yake karibu mara 10 ya bei ambayo klabu hiyo ya Emirates ilimuuza na hivyo kuwafanya wajutie uamuzi huo, imeelezwa.
Chelsea kuchagua yenyewe Ulaya NDO hivyo. Chelsea italazimika kuchagua inataka kucheza michuano gani msimu ujao, Ligi ya Mabingwa Ulaya au Europa League.
De Bruyne kwenda Arsenal? Arteta apewa majembe sita ya kutwaa taji la ligi SWALI tamu, je Arsenal itamsajili Kevin De Bruyne na Antony dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi?