Morrison ampiga kijembe Manara STAA wa Simba, Bernard Morrison amempiga kijembe msemaji wa Yanga, Haji Manara baada ya kukomenti kwenye posti yake huko Instagram, kwamba anapenda kwenda Uwanja wa Ndege kuliko kubeba...
Tusker yajitoa Kagame, Yanga wapewa Malawi TIMU ya Tusker inayoshiriki Ligi kuu ya Kenya imejiondoa katika michuano ya Kagame kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati yanayotarajiwa kuanza Agosti Mosi - 14, Jijini Dar es...
Geita yaichimba mkwara Simba SIMBA imetua mkoani Mwanza kwa ajili ya kucheza mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita. Wekundu hao wa Msimbazi ambao walimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa katika...
Metacha kuikosa nusu fainali Cecafa GOLIKIPA wa Tanzania Boniface Mnata Metacha ataikosa mechi ya nusu fainali dhidi ya Sudani Kusini mchezo utakaopigwa leo saa 5:45 asubuhi katika mashindano ya ukanda wa Afrika Mashariki na kati...
Carlinhos sasa rasmi SASA ni rasmi mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos ameruhusiwa kuanza mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzake mapema wiki ijayo baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya paja.
MO Dewji tajiri namba moja Afrika Mashariki na Kati Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO' Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika orodha ya watu matajiri zaidi Afrika kwa mujibu wa jarida la Forbes akishika nafasi ya 13 kwa sasa huku...
Nabi ashusha sapraizi Yanga Nabi yuko kwao likizo, lakini ameliambia Mwanaspoti kwamba ana sapraizi mbili za kumalizia usajili kwenye benchi lake la ufundi. Anataka mtaalam wa kusoma video za wapinzani ambao ni wazi kwamba...
Matola mjanja ashtukia jambo KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ni kama ameshtukia jambo baada ya kuamua kurudi darasani kusoma lugha ili kwenda sawa na makocha wakubwa wanaokuja kufundisha soka hapa nchini, hususan...
Simba fasta kuiwahi Yanga SIMBA ipo visiwani Zanzibar ilikoweka kambi maalumu kwa ajili ya mechi ya 'Kariakoo Derby' dhidi ya Yanga itakayopigwa Jumamosi Aprili 20 uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini Wekundu wa Msimbazi hao...
Aziz Ki apigia saluti asisti ya Aucho iliyoiua Simba Staa wa Yanga, Stephane Aziz Ki, ambaye amekuwa maarufu kwa pasi zake za hatari za kuchana ukuta wa upinzani, amempigia saluti Khalid Aucho kwa pasi iliyoizamisha Simba katika ushindi wa 2-1 wa...