Sasa ni wakati wa kuonyesha viwanjani Ligi Kuu imerejea baada ya mapumziko ya zaidi ya mwezi mmoja kupisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) inayopigwa Ivory Coast
Simba yatema watano dirisha hili MASTAA watano wa klabu ya Simba, wamepewa mkono wa kwaheri katika dirisha hili la usajili kupisha wachezaji wapya kutokana na kushindwa kufanya kile kilichotarajiwa na mashabiki wa timu...
Muziki umewakutanisha kisha ukawapa watoto Kwa kipindi chote mashabiki wanawaona kama wanamuziki waliopendana kisha wakafanya kazi pamoja lakini kuna watu wanawatazama kama Baba na Mama wameamua kufanya muziki pamoja.
PRIME Eeh! Dube alianzisha Azam FC AZAM FC jana ilipata ushindi wa 12 katika Ligi Kuu Bara msimu huu, huku ikimkosa straika wake hatari, Prince Dube ikiwa ni mechi ya pili mfululizo, ikielezwa ni majeruhi lakini yameibuka mapya...
Maskauti wamganda Bacca, simu zinaita! Wakati kikosi cha Taifa Stars kikijipanga kuanza safari ya kurejea nchini Tanzania, beki wa timu hiyo Ibrahim Hamad 'Bacca' ndio jina linalowapasua maskauti wengi kwenye kambi ya Stars. Mara...
Popat wa Azam FC aula Olimpiki maalum MKURUGENZI wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Olimpiki Maalumu nchini (Special Olympics Tanzania, SOT), uteuzi uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es...
Sakho avuliwa jezi fasta, Phiri atajwa STRAIKA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Emmanuel Gabriel ‘Batgol’, amekiangalia kikosi cha Msimbazi na kusema namba ya jezi aliyokuwa anaitumia enzi zake inayovaliwa kwa sasa na Pape Ousmane...
Siku 52 Yanga kuweka rekodi Yanga ina siku 52 za kuandika historia kuwa timu ya kwanza Tanzania kutwaa mataji manne ndani ya msimu mmoja ikiwa itachanga vyema karata katika mashindano matatu tofauti inayoshiriki.
Mshahara wa kocha anayehusishwa Simba huu hapa WAKATI joto la kocha atakayechukua nafasi ya Didier Gomes ambaye ameachana na timu hiyo baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa juu, bado timu hiyo inachakata majina ya waliotuma CV...
Sakata la Kyombo kusaini Simba, Singida liko hivi... MCHANA wa leo Jumanne mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Habibu Haji Kyombo amekuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa na Singida Big Stars waliopanda daraja msimu huu.i imemtafuta Kyombo na uongozi...