Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8942 results for Mwandishi :

  1. DR Congo kwenye ramani ya soka la Dunia baada ya miongo mitano

    Baada ya kusubiri kwa zaidi ya nusu karne, hatimaye ndoto ya mamilioni ya Wakongo imetimia. Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefanikiwa kufuzu rasmi kushiriki michuano ya...

  2. FIFA yathibitisha Iran kucheza Kombe la Dunia Marekani

    Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, amesisitiza kuwa timu ya taifa ya Iran itashiriki Kombe la Dunia kama ilivyopangwa, licha ya mvutano wa kivita unaoendelea huko...

  3. FIFA yapandisha bei ya tiketi Kombe la Dunia 2026

    SHIRIKISHO la Soka Duniani, FIFA, limeongeza bei ya juu ya tiketi za fainali ya Kombe la Dunia 2026 hadi Dola 10,990 (zaidi ya Sh27 milioni za Kitanzania), hatua iliyokuja wakati wa kufunguliwa...

    FIFA Pict
  4. Marcus karibu kutua FC Barcelona

    MARCUS Rashford yupo karibu kukubaliana na masharti ya kujiunga na Barcelona kwa mkataba wa kudumu msimu ujao wa majira ya joto, lakini mazungumzo kati ya klabu hizo bado hayajakamilika.

  5. Mabao mawili ya Ronaldo yaibeba Al Nassr dhidi Najma

    MSHAMBULIAJI wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo alirejea juzi kuiokoa timu yake dhidi ya aibu iliyoanza kuiandama na kuongeza matumaini sambamba na kuboresha rekodi zake katika Ligi...

  6. PRIME Straika Muivory Coast afichua ofa za Yanga, Simba

    Soma hapa

    STRAIKA Pict
  7. Matonya apandishwa kizimbani Kenya, atuhumiwa kwa ubakaji

    Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Sefu Shabani 'Matonya', leo Alhamisi Aprili 9, 2026 alifikishwa mahakamani katika eneo la Shanzu, Kaunti ya Mombasa nchini Kenya akikabiliwa na shtaka la...

  8. Toney, Galeno waibua kashfa Saudi Arabia, waitaja Al Nassr

    MWAMBA kachokonolewa. Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Ivan Toney anayekipiga Ah Ahli ya Saudi Arabia ametoa mashambulizi makali dhidi ya uadilifu wa uamuzi wa waamuzi katika Saudi Pro...

    TONNY Pict
  9. Ripoti ya CAG yaanika madudu Pamba, Dodoma Jiji

    RIPOTI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ya ukaguzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa...

    RIPOTI Pict
  10. Klabu ya Gymkhana, Mwananchi wapanda miti 600 kwa lengo la kuboresha mandhari

    Klabu ya michezo ya Dar es Salaam Gymkhana Club, kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imepiga hatua muhimu katika uhifadhi wa mazingira kwa kupanda miti 600...

Previous

Page 452 of 895

Next