Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9301 results for Mwandishi Wetu :

  1. Bodi ya Ligi yavuna Sh27 milioni, yatembeza rungu zito

    Kamati ya Utendaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 2, 2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi na kufanya uamuzi kwa mujibu wa...

  2. Huyu ndiye Dimitar Pantev, kocha mpya Simba

    Ndani ya muda mfupi kuanzia sasa, Simba itamtambulisha Dimitar Pantev kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco.

  3. PRIME Folz anahesabu saa Yanga, ishu ipo hivi

    Soma hapa

    FOLZ Pict
  4. Mabosi wa Real Madrid wapanga hili kwa Konate

    MABOSI wa juu wa Real Madrid wanafikiria kuachana na mpango wa kuendelea na mazungumzo ya kumsajili beki wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Ibrahima Konate, katika dirisha lijalo la...

    TETESI Pict
  5. Mabosi Man United wamfikiria Fletcher kumrithi Amorim

    DARREN Fletcher ameingia kwenye mbio za kuwa kocha wa muda wa Manchester United endapo Ruben Amorim atafutwa kazi.

    DAREN Pict
  6. Postecoglou afunguka kufukuzwa

    KOCHA wa Nottingham Forest, Ange Postecoglou amesema mashabiki wana haki kuzoea na kutaka afukuzwe sababu ndio wenye timu.

    BIG Pict
  7. Amorim ataja kinachoitafuna Man United

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema moja kati ya vitu ambavyo kikosi chake kinakosa ni wachezaji watukutu wenye ‘roho mbaya’ uwanjani.

    AMORIM Pict
  8. Pantev aaga Gaborone, aanza safari ya kutua Simba

    BAADA ya kuwepo kwa taarifa za Kocha Mkuu wa Gaborone United, Dimitar Pantev kufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa kuiongoza Simba, mapema leo asubuhi ameaga rasmi.

    PANTEV Pict
  9. TRIONDA: Mpira wa ‘AI’ Kombe la Dunia 2026

    SHIRIKISHO la Kandanda Duniani (Fifa) limezindua mpira utakaotumika katika Kombe la Dunia 2026 ambao una maboresho kibao ya kiteknolojia ikiwemo akili unde (AI).

    MPIRA Pict
  10. Thomas Tuchel atangaza kikosi, amtema Bellingham

    Meneja wa timu ya Taifa ya England, Thomas Tuchel hajamuisha nyota wa Real Madrid, Jude Bellingham katika kikosi chake kinachojiandaa na michezo miwili ya kimataifa mwezi huu.

    KIKOSI Pict
Previous

Page 444 of 931

Next