Mastaa Man United wachoka maneno MAMBO ni moto. Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kumwita kwenye uwanja wa mazoezi kiungo wa zamani wa miamba hiyo Paul Scholes baada ya kuchoshwa na ukosoaji wake usiokoma.
Tabora United yaipeleka JKT Tanzania CCM Kirumba Siku tano baada ya Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kufungiwa, uongozi wa Tabora United umeuchagua Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa mechi yake ya nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, Machi 7, 2025.
Harry Kane anahesabu siku tu kwa sasa HARRY Kane, jana usiku alifunga bao moja wakati Bayern Munich ikipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Augsburg katika Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga huku nyota huyo wa Uingereza...
Raha ya Manchester Derby ipo hapa MECHI tano zilizopita. Manchester United imeshinda mbili, Manchester City imeshinda tatu. Jumapili, kinapigwa tena.
Spurs kicheko, Man United kilio Europa MICHUANO ya Europa League inatinga hatua ya nusu fainali na Manchester United, Athletic Bilbao, Bodo/Glimt na Tottenham ndizo zilizotinga kusaka zitakazocheza fainali.
ATM YA WIKI: Mo Salah mkataba mpya, utajiri mpya MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027.
PRIME Azizi KI agonganisha Waarabu wa Morocco YANGA imekaa mkao wa kuvuna mamilioni ya kufuru kupitia kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz KI lakini huko Uarabuni kuna vita kubwa inapigwa kati ya klabu mbili.
Mbeya City yarejea Ligi Kuu kwa kishindo USHINDI wa mabao 5-0 ilioupata Mbeya City dhidi ya Cosmopolitan, umeifanya timu hiyo kutoka jijini Mbeya kurejea Ligi Kuu Bara msimu ujao 2025-2026 baada ya kufikisha pointi 65 ambazo haziwezi...
Kisa Amorim, Ratcliffe apata wasiwasi TAJIRI wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amesema yuko tayari kumuunga mkono Kocha Roben Amorim katika kuijenga Manchester United, ila ana wasiwasi kama ataendelea kusalia klabuni hapo.
Pep Guardiola atishia kung’atuka Man City PEP Guardiola ameonya ataondoka Manchester City iwapo klabu hiyo haitapunguza idadi ya wachezaji kipindi cha majira ya joto.