PRIME Simba yafuata mrithi wa Saido Asec Mwanaspoti linajua Simba inataka huduma ya kiungo huyo kiraka ili aje kufanya mambo mawili kutumika kama winga wa kushoto, pia kama kiungo mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa mwisho.
PRIME Ishu ya Manji kurejea Yanga ipo hivi Manji alikuwa Uwanja wa Mkapa Jumamosi iliyopita akiishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba na kukaribia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kufikisha...
PSG yaingia vitani kuiwinda saini ya Nico Williams PARIS St-Germain imeingia katika vita ya kuiwaia saini ya staa wa Athletic Bilbao, Nico Williams katika dirisha hili ambapo inaumana na Chelsea na Arsenal ambazo ndio za kwanza kuonyesha nia ya...
Man United yatafuta kipa MANCHESTER, ENGLAND: MANCHESTER United inafikiria kusajili kipa mpya, huku kinda wa Kibelgiji, Senne Lammens akiwekwa kwenye mpango. Kocha mpya wa Man United, Ruben Amorim ameanza kuwa na...
GUARDIOLA: Hii Man City bado sana LICHA ya kushinda mechi mbili mfululizo, kocha wa wa Manchester City Pep Guardiola amesema bado timu yake inacheza chini ya kiwango tofauti na vile ambavyo yeye anahitaji.
Simba yatanguliza mguu mmoja robo fainali BAO pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua limeipa Simba ushindi wa kwanza ugenini msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuichapa CS Sfaxien ya...
Guardiola amtolea uvivu Grealish Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema haridhishwi na kiwango duni kinachoonyeshwa na Jack Grealish akimtaka abadilike vinginevyo atasotea benchi.
Pesa ya Ronaldo katika Mitandao ya kijamii balaa STAA wa AL Nassr, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or, ni mmoja wa watu wenye nguvu katika upande wa mitandao ya kijamii hivi sasa akiwa ndio mtu mwenye wafuasi...
TPA yatembeza vipigo SHIMMUTA Timu za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) zinazoshiriki michezo ya SHIMMUTA inayoendelea mjini Tanga, zimekuwa moto wa kuotea mbali baada ya kutembeza vipigo mfululizo kwa wapinzani...
Ndumbaro kuongoza mastaa 200 gofu Arusha Dar es Salaam. Zaidi ya wachezaji gofu 200 kutoka nchi mbalimbali za Afrika watashiriki katika mashindano ya Tanzania Open yaliyopangwa kuanza Novemba 21 mpaka 24 kwentye uwanja wa Kili Golf wa...