Hojlund, Napoli sasa mambo yamefikia patamu BAYER Leverkusen na Galatasaray zinataka kuingia katika vita dhidi ya Crystal Palace kwa ajili ya kumsajili beki wa kati wa Manchester City, Manuel Akanji, 30, katika dirisha hili.
Solskjaer kibarua kimeota nyasi KOCHA, Ole Gunnar Solskjaer amefutwa kazi na klabu ya Besiktas ya Uturuki.
Fenerbahce yamtema Jose Mourinho Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imemfuta kazi kocha mkuu Jose Mourinho. Klabu hiyo yenye maskani yake jijini Istanbul imetoa taarifa mapema leo Ijumaa inayothibitisha kuondoka kwa kocha huyo wa...
Nyingine zajitokeza dili la Kobbie Mainoo LICHA ya uwepo wa vigogo, Real Madrid, Bayern Munich na hata Bayer Leverkusen wanaohitaji saini ya kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo, Napoli pia imejitosa katika vita ya kuiwania huduma...
Spurs yainyatia Chelsea kwa Simons KITENDO cha Chelsea kuchelewa kukamilisha usajili wa kiungo wa RB Leipzig, Xavi Simons kunaweza kufungua fursa kwa Tottenham kuingilia dili hilo na kufanya uhamisho wa dakika za mwisho.
PRIME Mzize awakosha Wafaransa Yanga TAARIFA njema kwa mashabiki wa Yanga kuanzia juzi ni uhakika wa mshambuliaji wa timu hiyo, Clement Mzize kusalia ndani ya kikosi hicho, lakini makocha wawili wa Kifaransa wamefungukia hatua...
Ligi ya Mabingwa Ulaya ni mtafutano mwanzo mwisho UTAMU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umerudi baada ya droo kupangwa jana Alhamisi huko Monaco Ufaransa, ambapo mashabiki watashuhudia mechi za kibabe ikiwamo Arsenal na Bayern Munich, Chelsea na...
Garnacho, Chelsea mambo yao sasa yameanza kunoga MANCHESTER United iko hatua za mwisho kufikia makubaliano ya kumuuza winga wake chipukizi wa kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, 21, kwenda Chelsea kwa ada inayokadiriwa kuwa kati ya...
Arteta bado hajamaliza usajili KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, bado hajamaliza, ndio. Mhispania huyu bado anahitaji wachezaji wasiopungua wanne kwa ajili ya kuboresha zaidi kikosi.
Kitita chatengwa dili la Isak, Guehi Liverpool LIVERPOOL iko tayari kufanya ununuzi mkubwa wa zaidi ya Pauni 150 milioni wa wachezaji kabla ya dirisha hili la uhamisho la majira ya kiangazi kufungwa.