Simba kama imebipu namba 28 ya Manula MABOSI wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba ni kama jana Alhamisi ilibifu juu ya namba 28 ya kipa Aishi Manula baada ya kumtambulishia kipa mpya wa timu hiyo, Moussa Camara kabla ya pambano...
Beckham amnasa Casemiro Miami KIUNGO wa kimataifa wa Brazil, Carlos Henrique Casimiro maarufu Casemiro anatarajiwa kujiunga na Inter Miami ambayo mmoja wa wamiliki wake ni staa wa zamani wa England na Manchester United, David...
Apple Music yawaunganisha Vanillah, Burna Boy, Rema MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Vanillah amepata shavu katika Kampuni ya kimataifa ya Apple Music ambapo ameingia katika mpango wao wa kushirikishwa na wasanii wengi wa kimataifa akiwamo Burna Boy na...
Kevin De Bruyne kumfuata Messi KIUNGO Kevin De Bruyne yupo mbioni kumfuata Lionel Messi katika Ligi Kuu ya Marekani (MLS).
Waziri Ndumbaro alifanya utani ishu ya pasipoti mechi ya Yanga, Mamelodi , 2024 akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita ndani ya miaka mitatu. “Alichozungumza Waziri alikuwa anahamasisha uzalendo wa timu zetu na...
Ronaldo, Messi ni washikaji, ila lao moja- 3 KATIKA toleo lililopita mwandishi, Luca Caioli aligusia kauli za makocha wawili maarufu, Sir Alex Ferguson na Carlo Ancelotti, wote walionekana kumkubali Ronaldo wakidai kuwa ni zaidi ya...
UBABE TU:Pep arithi kikosi cha Kocha Jupp Heynckes, atamba TOLEO lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau aliendelea kuzungumza na watu mbalimbali wanaomjua Kocha Pep Guardiola akiwamo Alexis Menuge, ripota wa gazeti...
Simba yapigwa 'stop' kusajili Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Simba ni kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia klabu hiyo kusajili kwa kipindi kimoja kijacho cha usajili.
Yanga, Azam kuanza hivi Kagame HATIMAYE makundi ya michuano ya Cecafa Kagame Cup 2021 yamepangwa huku Tanzania Bara ikiwakilishwa na Yanga, Azam huku Zanzibar ni KMKM.
Bwalya Simba, Luis out USAJILI WAKATI dili la Luis Miquissone kujiunga na Al Ahly ya Misri likiwa limekamilika, Simba imefanya fasta kumvuta straika kutoka klabu hiyo Bingwa wa Afrika. Inaelezwa kuwa dili la Luis...