Barcelona, Real Madrid wamwindia Haaland MATAJIRI wa Hispania, Barcelona na Real Madrid, wameanza kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, huku mustakabali wa mabingwa hao wa England ukiwa...