Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yanga kurudia ya mwaka 1965 kwa kuigomea Dabi? Kiliwakuta hiki

Muktasari:

  • Mchezo huo ulipangwa kufanyika Machi 8 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ikiwa ni marudio katika duru la pili msimu huu baada ya awali timu hizo kukutana Oktoba 19 mwaka jana na Simba kulala 1-0 kwa bao la kujifunga la beki Kelvin Kijili katika dakika za lala salama.