Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Wolper afichua siri ya ndoa yake

Dar es Salaam. Muigizaji wa filamu, Jackline Wolper amefichua siri ile ndoa yake aliyowahi kusema ameolewa na mwanamuziki mchanga aitwaye Engine.

Wolper amesema, haikuwa ndoa bali ilikuwa ni kikazi na kazi tayari wameshamaliza hivyo kwa sasa kila mtu na hamsini zake.

Wolper  mwanzoni mwa mwaka huu, alitangaza kwenda kutolewa mahali na Engine nyumbani kwao kijijini Moshi na baadaye kudai kuwa alifunga ndoa.

 Hata hivyo jana alizungumza na mwandishi wa Mwanaspoti na kumwaga hadharani ukweli wote huu hapa. Kwa undani wa habari hiyo usikose nakala ya gazeti la Mwanaspoti kesho Jumatatu.