CV ya Ibenge yatikisa Misri KOCHA wa ZED FC ya Misri, Mohamed Shawky, amemtaja kocha wa Azam FC, Florent Ibenge, kuwa mmoja wa makocha bora Afrika, akieleza kuwa uzoefu wake na mafanikio aliyoyapata katika mashindano...
Kagera Sugar kuendeleza moto Ligi Kuu KAGERA Sugar inataka kuendeleza ushindi ulioanza kwa kuichapa Mbeya City mabao 3-1, lakini safari hii inakutana na Polisi Tanzania inayohitaji matokeo mazuri ili kujiimarisha kwenye msimamo wa...