Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Simba yamleta fundi Msauzi

Mabosi wa Simba katika kuhakikisha wanalisuka benchi la ufundi kuwa imara zaidi ya wakati huu baada ya kumtambulisha kocha wa makipa, Chlouha Zakaria muda wowote kuanzia sasa wanamalizana na chuma kingine.

Taarifa kutoka ndani ya Simba ambazo Mwanaspoti imezipata mabosi wa timu hiyo wamemleta nchini kocha wa viungo kutoka Afrika Kusini ambaye limepatikana jina la Kelvin Mandla.

Meneja habari wa Simba, Ahmedy Ally alisema: “Siku si nyingi kuna mtaalamu mwingine kwenye benchi la ufundi tutamtambulisha ataungana na waliopo sasa.”