Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Polisi Tanzania, Wembe zawania beki Fufuni

POLISI Pict

Muktasari:

  • Chanzo cha ndani ya timu hiyo kimeliambia Mwanaspoti kuwa, baada ya kumkosa Kocha Suleiman Mohamed ‘Gamera’ sasa hasira zao wamezihamishia kwa aliyekuwa mchezaji wa kikosi hicho, Filex.

POLISI Tanzania kutoka Tanzania Bara na Wembe ya Zanzibar, zinawinda saini ya aliyekuwa beki wa kushoto wa Fufuni, Filex Bryson.

Chanzo cha ndani ya timu hiyo kimeliambia Mwanaspoti kuwa, baada ya kumkosa Kocha Suleiman Mohamed ‘Gamera’ sasa hasira zao wamezihamishia kwa aliyekuwa mchezaji wa kikosi hicho, Filex.

Chanzo hicho kimesema, bado timu hiyo ina nia ya kumchukua mchezaji huyo kabla ya ligi kumalizika hivyo uongozi upo katika mazungumzo.

Akizungumza na Mwanaspoti, Mchezaji huyo amekiri kuwepo kwa mazungumzo na timu hizo ijapokuwa hawajafikia muafaka wowote hadi sasa.

“Nikweli timu hizo zinanihitaji lakini bado hatujafikia muafaka wa mazungumzo na Wembe wanasitasita,” amesema.