Pablo wa Simba atua Dar
Muktasari:
- Kocha mpya wa Simba, Pablo Franco Martine amewasili nchini Tanzania leo saa 4:00 asubuhi akitokea kwao Hispania kupitia Dubai-Zanzibar kisha Dar es Salaam
Dar es Salaam. Kocha mpya wa Simba, Pablo Franco Martine amewasili nchini Tanzania leo saa 4:00 asubuhi akitokea kwao Hispania kupitia Dubai-Zanzibar kisha Dar es Salaam
Apoliwasili alipokelewa na Mratibu wa Simba, Abbas Seleman.
Kocha huyo aliambatana na Wakala wake ambaye ni Mkenya.