Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mtanzania kupanda ulingoni Dubai

BONDIA Jesca Mfinanga bondia namba mbili kwa ubora Tanzania  katika uzito wa kilo 54 amepima uzito leo tayari kwa kushukaka ulingoni kesho kupigana Avril Mathie ambaye ni bondia namba 43 duniani katika uzito huo Dubai.


Akizungumza na Mwanaspoti Katibu wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania amesema Jesca Mfinanga atashuka katika pambano lake la 4 tangu aanze kucheza ngumi za kulipwa nchini.

“Jesca aliondoka Septemba 16 kuelekea Dubai na kesho atashuka dimbani kucheza dhidi ya Avril Mathie ambae ni bondia namba 4 kwa ubora nchini Australia na 43 kwa ubora duniani.


IMEANDIKWA NA LILIAN MUKULU