Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Majimaji waingilia mlango wa nyuma

Muktasari:

  • Wachezaji hao wameingia kupitia mlango mdogo kinyume na Kanuni za Ligi Kuu zinazowataka kuingia kupitia mlango mkuu.

Wachezaji wa Majimaji FC ya mjini hapa wameingia uwanjani kwa kupitia mlango wa nyuma jambo linaloaminiwa kuwa linahusiana na imani za kishirikina.

Wachezaji hao wameingia kupitia mlango mdogo kinyume na Kanuni za Ligi Kuu zinazowataka kuingia kupitia mlango mkuu.

Mwandishi ameshuhudia basi la Majimaji likiingia Uwanjani tupu huku wachezaji wakiwa tayari wamejifungia vyumbani.

Katika hatua nyingine, nyota wa Yanga wameingia na basi lao kupitia mlango mkuu na kushuka kawaida kwenda vyumbani.