Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kisa CBE, Gamondi ageuka mbogo

Muktasari:

  • Kocha Gamondi amewawakia wachezaji wa timu hiyo hususani, washambuliaji kwa kushindwa kutumia nafasi walizotengeneza kwenye Uwanja wa Abebe Bikila, Addis Ababa, akisema wamezingua na wanapaswa kusahihisha makosa katika pambano la marudiano litakalochezwa Jumapili ijayo visiwani Zanzibar.