TRA United, Yanga mechi ya mtego Ligi Kuu YANGA inahitaji ushindi leo, Jumamosi, dhidi ya TRA United kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ili kupunguza pengo la pointi sita dhidi ya vinara Simba, lakini mbele yake kuna kikwazo cha...
Kapera; Straika aliyepishana na mamilioni Msimbazi IKIWA imepita zaidi ya misimu mitano tangu kuondoka Kagera Sugar, Ramadhan Kapera anasema bado haamini kilichotokea kwenye dili lake la kujiunga na Simba dakika ya mwisho, akieleza kuwa anahisi...