Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

JKT Queens yapata ushindi wa kwanza CAFWCL

Wawakilishi wa CECAFA katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa upande wa wanawake (CAFWCL) JKT Queens imepata ushindi wa wake wa kwanza wa mabao 2- 1 dhidi ya Atletico Football Club d'abidjan ya Ivory Coast.

Mabao ya Aliyah Fikiri na Winifrida Gerald yameifanya JKT Queens kukusanya alama tatu katika michezo miwili waliyocheza ambapo walipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Kwenye mchezo wa leo Donisia Minja amekuwa mchezaji Bora wa mechi (women of the match)

Hata hivyo JKT Queens itatakiwa kushinda mchezo ujao dhidi ya Sporting Casablanca mchezo utachezwa Novemba 11 ilikujihakikishia nafasi ya kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.