Huruma siyo malezi! Yanga yawabamiza Wamadagascar Chamazi MABINGWA wa Ligi Kuu NBC, Yanga ikiwa katika kiwango cha juu, leo ilitumia msemo wa huruma siyo malezi baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA ya Madagascar katika mchezo wa...
CV ya Ibenge yatikisa Misri KOCHA wa ZED FC ya Misri, Mohamed Shawky, amemtaja kocha wa Azam FC, Florent Ibenge, kuwa mmoja wa makocha bora Afrika, akieleza kuwa uzoefu wake na mafanikio aliyoyapata katika mashindano...