Usajili 10 bora Ulaya wenye thamani ndogo msimu huu KUTOKA kwa washambuliaji wenye uzoefu hadi vipaji vyenye umri mdogo vinavyosisimua, hawa hapa ni wachezaji 10 ambao wanaweza kuthibitisha kuwa usajili wa bei nafuu kwa timu zao mpya msimu huu...
Mariam Yusuph ni mama, mke na mchezaji BEKI wa Mashujaa Queens, Mariam Yusuph Juma mwenye umri wa miaka 33, ameamua kuonyesha mfano kwa matendo, kutenganisha kazi anayoifanya ya soka na maisha halisi kama mwanamke.