Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Awesu, Simba ni suala la muda tu

Muktasari:

  • Mchezaji huyo anakaribia kujiunga na Simba baada ya kumaliza mkataba wake na KMC.

Simba inadaiwa kuwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili.

Mchezaji huyo anakaribia kujiunga na Simba baada ya kumaliza mkataba wake na KMC.

Awesu ana uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji na pia winga, ingawa kuna nyakati amewahi kutumika kama kiungo wa ulinzi.

Awesu anaachana na KMC baada ya kuitumikia kwa misimu mitatu tangu 2021 aliposajiliwa  akitokea Azam FC.

Kiungo huyo pia amewahi kuzichezea Mwadui FC na Madini FC