Ambulance viwanjani, kinga dhidi ya majanga ya soka KWA mujibu wa kanuni za soka zilizopokewa kutoka Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), katika kila mchezo wa soka ni lazima kuwepo na gari la wagonjwa, yaani Ambulance.
Wamegeuza umaarufu dili la kupiga mkwanja MCHEZO wa mpira wa miguu nchini Tanzania kwa sasa sio burudani tu, bali ni sekta kubwa ya kiuchumi.