Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Serengeti Lite Nyota Bigi Msimu wa Pili Yawakutanisha Vijana Dar es Salaam

LITE Pict

Muktasari:

  • Usaili huo umeleta pamoja vijana wenye vipaji vya kuimba, kucheza, kuigiza, kuchekesha, wanamitindo na ubunifu mwingine mbalimbali, na kuwaleta kwenye jukwaa moja ili waonyeshe kile wanachoweza kufanya mbele ya watazamaji na wataalamu wa tasnia.

Dar es Salaam iliwaka wakati vijana wenye vipaji mbalimbali walipokutana katika usaili wa Serengeti Lite Nyota Bigi Msimu wa Pili, wakipewa nafasi ya kuonyesha uwezo wao na kung’arisha vipaji walivyonavyo.

Usaili huo umeleta pamoja vijana wenye vipaji vya kuimba, kucheza, kuigiza, kuchekesha, wanamitindo na ubunifu mwingine mbalimbali, na kuwaleta kwenye jukwaa moja ili waonyeshe kile wanachoweza kufanya mbele ya watazamaji na wataalamu wa tasnia.

Kupitia ushirikiano na KUNTA Africa, Serengeti Lite inaendelea kutoa nafasi kwa vijana kuamini vipaji vyao, kuvitumia na kufikiria zaidi kupitia kaulimbiu “Lite Your Imagination.”

Baada ya Dar es Salaam, safari ya kutafuta Nyota Bigi inaendelea Arusha, Dodoma na Mwanza, ambapo vijana wengine watapata nafasi ya kuonyesha vipaji vyao na kuwania nafasi ya kuwa Nyota Bigi wa msimu huu.

Nani ataibuka kuwa Nyota Bigi? Safari bado inaendelea.