Ndayiragije aipa ubingwa Kenya Police ikizima utawala wa Gor Mahia
KOCHA wa zamani wa Azam, KMC na Timu ya Taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije, ukiwa ni msimu wake wa kwanza ameiongoza Kenya Police FC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Kenya 2024/2025 kwa mara ya...