Mambo 10 yakuvutia Kombe la Dunia 2026 Ilikuwa miaka, miezi na sasa zimebaki siku 24, kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2026, tayari presha inapanda kila kona nini kitakwenda kutokea katika mashindano hayo yanaliyoandaliwa...
Cape Verde 'muujiza wa soka' Kombe la Dunia 2026 Julai 5,1975, bendera ya Cape Verde ilipepea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Várzea katika mji mkuu wa Praia, ikiwa ni siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa Ureno. Wakati huo...
Tunisia watavunja mwiko Kombe la Dunia? KUNA timu ukizitazama unaweza usisikie kelele, mastaa wa gharama kubwa au presha kutoka kwa mashabiki wao, lakini katika mashindano makubwa zinageuka kuwa tishio miongoni mwao ni Tunisia.
Black Stars ya kina Semenyo kuifuta rekodi ya Essien? Tangu ilipofuzu kwa mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia 2006, Ghana imeshindwa kufuzu kucheza fainali hizo mara moja tu 2018, lakini tatizo ni mwendo wa kusuasua kwa siku za karibuni pamoja na...
Sh10.6 bilioni zimefanya Uwanja wa Gombani uwe hivi! "NAPENDA kuipongeza Serikali kwa juhudi zake katika ujenzi wa viwanja iwe vya wilaya au mkoa. Baada ya kusema hayo, sasa nitamke rasmi kwamba uwanja mpya wa Gombani nimeufungua rasmi. Asanteni...
Kizazi kipya cha wasemaji wa timu kinavyokimbiza KUMEIBUKA kizazi flani hivi kinaupiga mwingi kwenye eneo la kuzisemea timu za Ligi Kuu Bara, wakiibuka na ladha ya tofauti kabisa tofauti na zamani ilivyokuwa.
Ngoja tuone! Rekodi zinazosubiriwa kuvunjwa Ligi Kuu England msimu huu REKODI zinawekwa ili zivunjwe. Hata za Ligi Kuu England, hadithi ni hiyo hiyo zimewekwa ili zivunjwe.
Riyama: ‘Nimeokota’ sana kuchamba watu TASNIA ya burudani katika sanaa za tamthilia na filamu nchini ina waigizaji wengi na kila mmoja ana mvuto wake, lakini Riyama Ally ambaye ni mkongwe kwa sasa ni mtu na nusu!
Hawa ndio wababe wa Mapinduzi Cup MSIMU wa 20 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati timu za Kundi A zitakazopokuwa zikikata utepe wa mwaka 2026 katika msako wa taji la michuano hiyo ambalo kwa...