Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9169 results for Mwandishi :

  1. Mtihani, waamuzi Bongo pasua kichwa - 1

    lakini wana sifa sawa na yule wa Ligi Kuu,” anasema mkufunzi huyo mwandamizi ambaye anafafanua pia juu ya maswali ya wadau wengi kutaka kujua kuna tofauti ya mafunzo baina ya waamuzi wa kati na...

  2. Ifahamu asili ya hat trick

    Ridley (Mwingerea) alituuliza nini maana ya hat trick. Tulikuwa watu zaidi ya 20 katika mkutano, theluthi wakiwa Wazungu kutoka Uingereza, Ireland, New Zealand na Australia. Miongoni mwao...

  3. Achana na Barbara, kuna mengi Simba

    BUNDI analia Msimbazi.Mambo yanaonekana sio mazuri baada ya Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kuandika waraka wa kuachia kiti hicho cha moto. Uvumi mwingi unazagaa kuhusu hatima ya mwekezaji.

  4. PRIME Boli walisukuma huku a.k.a ziliwabeba vilevile

    HUENDA usiamini, lakini ndivyo ukweli ulivyo. Mashabiki wa soka wa zamani wanapoyasikia majina ya utani wa nyota wa soka wa sasa wanacheka kwa dharau. Unajua kwanini? Majina ya utani kwa...

  5. Musonda katikati ya mtego

    KLABU ya Yanga imemsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Kennedy Musonda kutoka Power Dynamos. Musonda amesajili kupitia dirisha dogo, ili kuiongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya timu...

  6. MZEE WA UPUPU: Jina la Manyara Stars limeshaachwa?

    TIMU za Taifa za Soka za Tanzania zimekuwa kwenye harakati mbalimbali ndani ya mwezi huu wa Septemba. Serengeti Boys, Timu ya Taifa Chini ya Miaka 17, iko kambini Karatu ikijiandaa na Mashindano...

  7. Kwa hili.. Simba, Yanga zimepiga bao..

    SIMBA na Yanga zimekuwa zikitambiana sana mtaani hasa pale mmoja anapochemsha kwenye mechi inazocheza, lakini kuna wakati huigana na hata kuungana kwenye mambo ya msingi Kwa mfano kwa sasa klabu...

  8. Yanga wanatoboa, hawataboi?

    NI miujiza pekee itakayoweza kuifanya Yanga leo itabasamu. Ndivyo ukweli ulivyo, Julai sio mwezi mzuri hata kidogo kwa vijana wa Jangwani kila wanapokutana na watani wao wa jadi, Simba. Wapo...

  9. PRIME Nabi fundi sana apewe maua yake Jangwani

    NAMBA hazidanganyi. Namba hazijawahi kuongopa, hata iwe vipi! Na hivi ndivyo kazi kubwa ya Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ilivyo. Ufanisi wake, upo wazi hata kwa mtu asiyejua soka. Apitua...

  10. Huyu hapa nguli wa gofu Bongo

    ALIANZA kucheza kabla ya Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania Bara), hadi sasa bado anacheza japo si kwa kasi ile ile. Enzi zake, ingekuwa ni kwenye soka, tungemfananisha na nyota kama Sunday...

Previous

Page 907 of 917

Next