Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9138 results for Mwandishi :

  1. Stars kusaka rekondi mpya Afcon 2023

    Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo inakabiliwa na kibarua kigumu ikicheza mechi ya kwanza katika fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu dhidi ya Morocco katika Uwanja wa Laurent...

  2. Siku 373 za Mnyama zilivyotibuliwa kwa Mkapa

    ACHANA na kipigo cha mabao 5-1 ilichopewa Simba juzi na watani wao wa jadi, Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara, matokeo hayo yamehitimisha ubabe wa Mnyama wa siku 373 kucheza bila kupoteza...

  3. Maxi aingia anga za Okwi, Kiiza

    MABAO ya dakika ya 64 na 77 aliyofunga wakati Yanga ikiizamisha Simba kwa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, yamemfanya mshambuliaji, Maxi Nzengeli kufikia rekodi za nyota wa kigeni...

  4. Kocha mpya Yanga aja na rekodi za Sven

    VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanaendelea kujifua mazoezini katika kambi yao ya Kigamboni chini ya Kocha Juma Mwambusi, huku wakimsubiria kocha mkuu mpya, Mfaransa Sebastien Migne anayetarajiwa...

  5. Kwa Azam hii sajilini mabeki na kipa

    AZAM FC inaendelea na kambi yake ya maandalizi ya msimu mpya hapa Sousse nchini Tunisia na Kocha Yousouph Dabo anatoa dozi ya hatari. Moja kati ya maeneo ambayo Dabo kayatolea sana macho ni safu...

  6. Wajue wapinzani wa Simba, Yanga kimataifa

    DROO ya raundi ya kwanza na pili ya mashindano ya Klabu Afrika msimu wa 2022/2023 imepangwa juzi huko Cairo, Misri ambapo timu zitakazoiwakilisha Tanzania zimeshafahamu wapinzani wake. Ukiondoa...

  7. Watapigwa kama ngoma!

    KIKOSI cha Simba, kinatarajiwa kushuka uwanjani kuanzia saa 1:00 usiku leo ili kuikabili Vipers ya Uganda kwenye mechi ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikiwa na kazi mbili muhimu ya...

  8. PRIME Hapa Simba ishindwe wenyewe tu

    SIMBA ina kibarua cha kufanya usajili wa idadi kubwa ya wachezaji kulinganisha na Yanga na Azam FC, lakini ina faida moja ambayo ikiitumia vyema inaweza kuwazidi kete wahindani wake hao...

  9. Kwani mlitakaje?

    YANGA jana ilionja kipigo cha kwanza kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kufungwa mabao 2-1 na Ihefu kwenye mechi kali iliyopigwa Uwanja wa Highland Estate, jijini Mbeya, huku mashabiki wa timu hiyo...

  10. Kilichomng’oa Manara Simba hiki hapa

    MWISHO wa zama. Kama utani Haji Manara leo hii amebaki kuwa mwanachama na shabiki tu wa Simba, baada ya kupigwa chini na nafasi yake kupewa aliyekuwa ofisa habari na kaimu katibu mkuu wa klabu...

Previous

Page 852 of 914

Next