Yanga: Tunaanza na nyie, Jamhuri yasema liwalo na liwe UTAMU wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 unazidi kukolea, ikiingia siku ya nne wakati Yanga watakaposhuka kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kukabiliana na Jamhuri iliyojeruhiwa na KVZ katika...
JIWE LA SIKU: Barua nzito kwa mastaa Bongo MASHINDANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) yanamalizika siku chache zijazo. Leo kinapigwa michezo miwili ya nusu fainali na baadaye usiku tutajua ni kina nani wanaangukia katika kusaka...
Yanga hii ya Gamondi utaipenda YANGA ni timu yenye heshima kubwa Tanzania. Huwezi kuwa na maswali mengi ukisikia jina la timu hiyo linatajwa kokote duniani. Sasa inatafuta ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ndiyo...
NMB, Yanga wazindua kadi za Kimataifa Benki ya NMB kwa kushirikiana na Klabu ya Yanga, wamezindua kadi mpya maalum kwa mashabiki wa timu hiyo. Kadi hizo zinazotajwa kuwa na faida lukuki zinajulikana kama NMB YANGA Wolrd Debit...
Maajabu mbele wembe, nyuma uchochoro kuendelea? LIGI Kuu Zanzibar (ZPL) iliyosimama kupisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 na fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zinazoendelea Ivory Coast inayotarajiwa kurejea kesho, lakini...
Zawadi za tuzo za mwezi Ligi Kuu mh! Tuko mwaka 2024 na Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24, inakaribia kuingia mzunguko wa pili. Cha ajabu ni kwamba hadi muda wa kuandika makala hii, wasimamizi wa mashindano yaani bodi ya ligi...
Gofu Afrika yawapa darasa kina Madina WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya Gofu ya Ridhaa Afrika, yaliyomalizika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Leopard Creak, Afrika Kusini, wamekiri kujifunza vitu vingi vya...
PUMZI YA MOTO: Mechi ya Azam, Yanga hatihati kufanyika RATIBA ya Bodi ya Ligi iliyotoka Jumatatu, Januari 29, ilionyesha kwamba mechi namba 168 ya Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC na Yanga itafanyika Machi 17 saa moja usiku uwanjani Azam Complex...
Mambo matatu kuibeba Simba Mchezo dhidi ya Al Ahly juzi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa umeionyesha Simba mambo matatu ambayo kama ikiyafanyia kazi ndani ya muda mfupi uliobaki inaweza kufanya vyema katika mechi ya...
MZEE WA UPUPU: Alichokisema Conte kwa Spurs ndiyo ugonjwa unaitafuna Azam FC KOCHA wa Tottenham Hotspur ya England, Antonio Conte, amekuwa gumzo wiki iliyopita baada ya kuwachana wachezaji na viongozi wa timu yake mbele ya waandishi wa habari na tayari amefukuzwa juzi...