Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9137 results for Mwandishi :

  1. Simba, Pamba mtajua hamjui

    MOTO utawaka. Ndoto ya wengi ya kuona mzizi wa fitina unakatwa katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imeshikiliwa na mchezo wa robo fainali ya mashindano hayo leo...

  2. Twendeni robo

    SIMBA na Yanga zinahitaji pointi tatu kila moja kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) na nafasi ya dhahabu kupenya ni kushinda mechi zao zijazo ambazo zote...

  3. MZEE WA UPUPU: Haji Manara tangu alipozaliwa

    Haji Sunday Manara, aliyekuwa msemaji na mhamasishaji wa klabu ya Simba tangu 2015 ameondoka klabuni hapo kibabe ikidaiwa ni kutokana na kutoiva na mwanamama Barbara Gonzalez, ambaye ni mtendaji...

  4. UCHAMBUZI: Simba Day ni ishara ya uadilifu wa Mzee Hassan Dalali

    KESHO Jumapili, ni kilele cha Tamasha la Siku ya Simba (Simba Day) ambalo litafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika siku hiyo ya kilele, kutakuwa na shughuli mbalimbali...

  5. Omalla bwa'mdogo anayefuata nyayo za Lunyamila

    GOR Mahia ya Kenya inatamba na kijana mdogo mwenye umri wa miaka 21, Benson Omalla ambaye yupo katika kiwango cha juu cha uchezaji huku akiwa kinara katika kutupia mabao nyavuni kwenye...

  6. Hawafai, waamuzi 'machizi'

    MICHEZO mingi iwe ya kirafiki au ya mashindano husimamiwa na waamuzi kwani kutokuwapo kwao kunaweza kutokea wachezaji, viongozi na hata mashabiki kutokubaliana na kusababisha vurugu. Hivyo ndivyo...

  7. TFF na Yanga wanavyoliana taimingi

    Jumamosi, Mei 8, Taifa liliingia katika taharuki baada ya kushindwa kufanyika kwa mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga uliopangwa kuchezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es...

  8. Takwimu.. Yange walee wanatoboa CAF

    YANGA inaonekana kutishia maisha ya timu nyingine kwenye kundi lake la Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na rekodi zake ambazo zinatofautiana na wapinzani wake. Yanga imekuwa timu bora kwa...

  9. Simba inataka ndoo Mapinduzi, Benchikha abeba wote

    KIKOSI cha Simba leo kinatarajiwa kuvuka Bahari ya Hindi kwenda Zanzibar tayari kusaka ubingwa wa tano wa Kombe la Mapinduzi 2024, huku benchi la ufundi likidaiwa kufanya kikao na wachezaji na...

  10. Yanga: Tunaanza na nyie, Jamhuri yasema liwalo na liwe

    UTAMU wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 unazidi kukolea, ikiingia siku ya nne wakati Yanga watakaposhuka kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kukabiliana na Jamhuri iliyojeruhiwa na KVZ katika...

Previous

Page 850 of 914

Next