Hersi: Nabi bado yupo sana Yanga . "Kocha Nabi hajapewa mechi moja wala mbili, bado ni mwalimu wetu, hatufanyi kazi kwa mihemko ya watu, yuko pale kama kocha wetu mkuu na ameijenga timu yetu,"amesema Hersi.
Mbeya City yaingia kimataifa Mara baada ya pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2022-23 (TPL) pamoja na Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kufunguliwa siku za hivi karibuni, Klabu ya Mbeya City, Chelsea, Aston Villa...
ZA NDAANI KABISA: Waamuzi sasa wanafungiwa kimya kimya HIVI karibuni kumekuwepo na taarifa ya kufungiwa kwa waamuzi wawili Amina Kyando na Ahmed Arajiga kwa kipindi cha miezi sita ingawa taarifa zao hazijangazwa kama ilivyo kawaida. Habari za ndani...
Ni kubadilishana kijiti kama mbio fupi za mapenzi Wasanii kama wanavyotajwa ni kioo cha jamii, watu wengi hupenda kufuatilia maisha na mambo yao, yakiwamo ya mahusiano.
Mwakinyo aporomoka Afrika, kumaliza kifungo Oktoba 18 Wakati Bodi ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Nchini Uingereza (BBBC) ikitaja Oktoba 18 itakuwa siku mwisho ya kifungo cha Hassan Mwakinyo kutocheza ngumi nchini humo, bondia huyo namba moja nchini...
Nyie msiidharau Yanga imepambana Wakati mashabiki wa Yanga wakiumizwa na matokeo ya sare nyumbani dhidi ya Al Hilal ya Sudan,takwimu zinaonyesha ni timu Moja pekee iliyoshinda kwake katika mechi katika mechi nne za jana. Al...
Eymael ashinda kesi, Yanga kumlipa Sh354 milioni Taarifa ya FIFA ilieleza Yanga imepewa siku 45 kuzilipa fedha hizo na wasipofanya ndani ya muda huo watafungiwa kusajili kwenye madirisha matatu.
Sakho avuliwa jezi fasta, Phiri atajwa STRAIKA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Emmanuel Gabriel ‘Batgol’, amekiangalia kikosi cha Msimbazi na kusema namba ya jezi aliyokuwa anaitumia enzi zake inayovaliwa kwa sasa na Pape Ousmane...
ZA NDAANI KABISA: Mnigeria mbioni kusepa Simba HUKO mtaani kwa sasa mjadala wa straika wa Simba, Dejan Georgijevic ‘Mzungu’ kuamua kujiengua ghafla kikosini kwa tuhuma za kukiukwa kwa baadhi ya vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo ya...
Mashindano ya soka kwa watoto yazinduliwa Geita inayozunguka mgodi ambapo kupitia mpango huo, GGML ilijenga zaidi ya madarasa 600 mwaka wa 2018. “Watoto wadogo ndio kizazi cha baadaye na ndio wa kwanza kunufaika na uwekezaji wetu.